queen monroe
Member
- Jan 7, 2014
- 86
- 35
Jamani habari wana jf...mwenzenu mie nina tatizo kubwa sana..naliita kubwa maana limeshakua sugu..sijawahi kufika kileleni kabisaaa jamani...mimi ni muaminifu,mpenzi mmoja ..lakini hajawahi kunifikisha kabsa,na kabla ya huyu mpenzi wangu..wote waliopita sukuwahi kufika kileleni...lakini cha ajabu nikijishika tu sehemu zangu za siri when am alone kitandani...yaani nasikia rahaaaa...mpk nafika...mpk napiga kelele.swali langu ni kua kwanini koki ya kidume inashindwa kunipa raha hizi?sasa nimeshakua sugu..tukigegedana na mzee ,lazima akiondoka nijimalizie kwa kidole.
Nisaidieni ushauri sio kuninanga..maana utamu wa koki nauhitaji saana .
Ndimi muathirika queen monroe
Nisaidieni ushauri sio kuninanga..maana utamu wa koki nauhitaji saana .
Ndimi muathirika queen monroe