Sijawahi pata spidi hii ya internet ila leo tuu

Sijawahi pata spidi hii ya internet ila leo tuu

d92835556a9bb72742d229b6e9f49e01.jpg
Voda 4G
 
Vipi kuhusu mabando yake ni rafk kwa ss wenye kipato cha kawaida?
Sema ukweli hapana sema wana vifurushi vyao vya unlimited vilivyonivutia wanakubana tu spidi 21mbps ambacho kwangu kitanifaa sana

Tutajibana tu hivyo hivyo...
 
Halotel wako juu sana ila wabaiba MB zinaisha kila SKU, kifurushi cha week kinakaa siku mbili? Wamenishinda nimerudi kwenye speed ya kobe
 
23eff9ec4df7c81bb1f97097eeb3fae5.jpg
mambo ya tigo hayo
Hamna atakaye kuelewa jamii forums hii yani humu ndani kumejaa ma freelancer wa halotel kila kona kuusifu huo mtandao wao slow na kusema ndio unakasi kuliko yote hapa bongo...

Wakati hii hapa ni speed ya Vodacom 3g
90a3c1671f563010d34a53d67ac8985b.jpg


Hiyo ni 3g tu halotel agusi sasa hapa kwenye 4g sindio kabisa
5ac1e8aff2a9b24ff60f46919e05bfd3.jpg


Alafu hizi spidi sio kwamba nipo Kariakoo au upanga... Walaah nipo Tabata ndani ndani kabisa udongo mwekundu.
 
Mabando ya simile sio rafiki kwa watu wa kawaaida, inabidi ujipange.
 
Back
Top Bottom