eeh ndio hivyo..ila wakati mwingine pasipo wewe kuwepo watu wa namna hiyo hucheka pekeyao..na wanamambo ya kujinga sana, pu..u zinaweza muwasha akajikuna uku anacheka ama kurembua...we waache tu kama walivyo
Watoto wa mjini wanasema kufa na tai shingoni
Hiyo hali ni mbaya sana hatuifurahii unaweza pata magonjwa ya moyo na Mara nyingi huwa tuna tabia ya kutunza
Yaani
Usoni kuna tabasamu lakini macho huwa yanaonyesha huzuni,kwa mtu makini atagundua hilo. Moyo huvumilia maumivu lakini ukishindwa inabidi machozi yatoke!!!
Kuna watu huwa hawajui kununa. We ukimuudhi yeye anacheka tu. anaweza kuwa kwenye hali ngumu ya kutatiza lakini utakuta mtu bado anatabasamu tele usoni.
Yaani
Usoni kuna tabasamu lakini macho huwa yanaonyesha huzuni,kwa mtu makini atagundua hilo. Moyo huvumilia maumivu lakini ukishindwa inabidi machozi yatoke!!!