wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,972
- 27,204
Kwa kawaida hua nchi mbalimbali hupatwa na changamoto za hapa na pale kwa mfano hapa kwetu tanzania unaweza kusikia kuna wakimbizi wengine huja kukaa au kupita kwenda nchi za jirani vile vile na nchi za ulaya nako huko huko hupatwa na changamoto mpaka baadhi ya nchi nyingine kwenda mbali hadi kuamua kuweka ukuta,lakini katika nchi hizo kwa asilimia kubwa wakimbizi au wahamiaji haramu huenda hadi kulalamika!!lakini binafsi sijawahi kusikia nchi ya urusi ikilalamika hivi huko katiba yao au sheria yao ikoje naomba kuelimishwa!!