Sijawahi kupigwa "ban" Jf

Mmmmhh mshukuru Mungu Mimi hawa njaa kari wa Lumumba naona hizo buku 7 wakishazipataga wananifata mm kunitafutia ban yani mm haipiti wiki lazima nichezee burn.na nashindwa namna ya kuwa na Ids nyingi
 
jaribu utamu wake mkuu ..kupigwa ban raha sana


type k...u.....ma bila doti mkuu kila la kheri
 
Admins wanajua wanachokifanya, huwa hawakurupuki na sio kila kosa mtu anapewa ban, mengine wanakufuata inbox kukuelekeza huku msg yenye makosa ikifutwa kimya kimya,
Big up Maxence Melo
 
Haujawahi kukosoa huwa unasifia tu...lkn pia unapost kwa hofu na uoga .....if you never wronged then you have never done anything...
 
Back
Top Bottom