Sijawahi kupendeza kama leo!

ha ha pale unaponunua bidhaa halafu unakuta nakazawadi lzm mtaani tukukome😱
 
Halafu usiipandishe suruali mno kuifungia mkanda tumboni.... kwa jinsi ilivyopimwa, ukifanya ivo unakaba sana hizo mbu.pu zako... suruali inaonyesha kabisa kokwa moja kushoto moja kulia mfano wa mguu wa ngamia!...
 
Kweli Leo upendeza unatokea ikulimambo nn!!!
 
Hiyo rangi inaitwa gay code yani rangi ya kujitambulisha mashoga wimbo wa TID kuna kofia ya rangi hiyo imevaliwa ukicheki comment za YouTube kuusu huo wimbo watu wa nchi mbali mbali wanaponda kwanini jamaa kavaa kofia ya rangi za "gay code"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…