Sijawahi kuona

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Nimewahi kuona binti wa kiswahili 'mtanzania'akiwa ameolewa na mwanaume wa Kihindi mwanaume wa kizungu akioa mwanamke wa Kiswahili, mwanaume wa Kiswahili akioa mwanamke wa Kizungu nk.lakini sijawahi kuona dada wa kihindi kaolewa na mswahili, kwanini ?
 
Afadhali umesema haujawahi kuona, nilifikiria unasema hawapo.
 
Nenda mujini utaona we unajifungia huko nanjilinji utaonea wapi..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanawake wa kihindi hawawezi kuolewa na wanaume wa kiswahili kwa sababu hawawezi kuhimili miki miki ya kunako sita kwa sita... Washazoea kuelekeza...
 
nahis japo sijui sana, wanawake wa Kihindi ndo wanaotoa mahari pindi waolewapo.

so sijaona mwanaume wa kiswahili atayekubali kutolewa mahari.

I stand corrected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…