Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,900
Kuna watu wanashangaza sana, wanadhani kwamba unaweza iongoza nchi kwa post za Instagram.
Ukiachana na matumizi ya Twitter ya Rais wa Marekani ambaye yupo madarakani kwa sasa, sijui ni Taifa lipi lingine ambalo mitandao ya kijamii imekua ni sehemu ya kuiongoza nchi.
Kwakuwa Instagram sio forum inayofahamika kisheria kama njia sahihi ya kumove serikali, ni wazi kwamba mambo ya mitandaoni hayawezi kuwa njia sahihi ya kuimove serikali kufanya jambo flani.
Wanasheria wanakauli zao zinazosema kwamba " In order for the court to invoke its powers into entertaining any matter it has to be properly moved" tafsiri yake ikiwa, ili kwa mahakama kuweza kutumia mamlaka yake kufanya jambo ni lazima njia sahihi zitumike kuifanya itumie mamlaka yake" endapo hilo halitafanyika hata kama haki ipo mahakama itakua imefungwa mikono.
Nitaishangaa sana serikali, na pia nitamshangaa sana kiongozi atakayeact on speculations ambazo zipo online zisizokuwa moved on proper channels na kufanyiwa verification by proper authorities.
Vile vile tutakuwa Taifa la ajabu sana kama tutakuwa watu wa kuchukua kila kitu na kukifanyia kazi kama kilivyo, hata vile ambavyo vinatoka katika maeneo yasiyotambulika kisheria.
Ni rai yangu kwa wale ambao wanadhani kwa kupost Instagram wanakuwa wameimove serikali, kutafuta proper avenues kufikisha claims zao, unless otherwise, watakuwa wanapoteza muda wao bure tu.