inawezekana ukawa sahihi,ngoja nifanye uchunguziKwa sababu viwanja vingi vinavyotumika kwa soka Tanzania uwa ni vya zaidi ya mchezo wa soka. Haswa kwa sababu vinakuwa na sehemu ya michezo ya riadha. Hata kwa wenzetu kwenye viwanja vinavyotumika kwa michezo mingi, uweza kuona gari za wagonjwa ndani ya uwanja. Kwa viwanja vinavyotumika kwa soka tu huwezi kukuta gari ndani ya uwanja kwa sababu hakuna nafasi ya kupaki gari ndani.