Sijawahi kumsikia Kocha Gamondi akiwa na 'Kigugumizi', ila leo kila akihojiwa kinasikika Kulikoni?

au labda alikuwa nacho ( anacho ) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika?

Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika?

Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
Mkuu wewe leo utashelekea saangapi?
Nakuona unashusha nyuzi mfulilizo.
Hebu kunywa maji kwanza na mikono ipate kupumzika.
..
 
Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika?

Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
hakuna anayefurahi kufungwa,ni ubinadamu huo
 
Back
Top Bottom