Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,016
You need to learn about incarnation.Mkuu Ishmael inaonyesha wewe Biblia unasoma
juu juu kama nyimbo wewe huisomi Biblia moja kwa moja Bwana Yesu alikuwa akisali na
kuomba(dua) kama walivyokuwa waki sali na kuomba (Dua) Mitume mingine. Ushahidi kuwa Bwana
Yesu alimuomba Mungu amuepushe na kifo cha msalaba Soma hapa chini.
Marko:15-34
34 Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Wewe Mkuu Ishmael Unamuomba Bwana YESU akulinde wakati Yesu Mwenyewe
anamuomba Mungu na kumwambia kwanini unaniacha? kazi kweli ipo Kwa akili zako na
fikiria zako Ni nani wa Kuombwa Kati ya Bwana YESU na Mungu ni yupi wa Kuombwa hapo?
Umepewa akili itumie akili yako sio kuwapoteza watu kwa jina la Bwana YESU.
It is like when Allah called himself a king, what does it mean? Is Allah no longer a deity?