Mi pia sijawahi sikia kitu kama hiki. Kama mleta mada hajaongeza chumvi nadhani anashida nyingine zaidi ya ujauzito.Kwa kuwa umempa sifa za alivyokuwa anaomba mechi hapo huenda ikawa hiyo mimba ndio sababu hivyo jitahidi kuvumilia kama itawezekana.
Ila sijawahi isikia hii. Hivyo hajisikii hata ukimgusa pia. Naweza amini kama ni kwa baadhi ya siku ila kwa miezii. Mmh
Spare my ribs brow. Nmecheka sana
Mi pia sijawahi sikia kitu kama hiki. Kama mleta mada hajaongeza chumvi nadhani anashida nyingine zaidi ya ujauzito.
wanaume tuna majaribu sana aisee, vumilia chief ila usichoke kumshawishi kwa upendo na upole ipo siku na yeye yatamuamka atakupa tu.
pole sana.
miezi tisa au zaidi hujala unyumba hapo sasa kende si zitaburst
Mama ushauri
mje na huku kuna mautamu Story: Money Penny ni nani lakini?!pole sana mkuu !nahs mkeo anasikia harufu fulan kwako inayomkera !akijiopne atakuja kukuambia ! pole sana !jikaze vumilia
Hizo njia kwa kweli siziwezi, ni heri kubaki na ugwadu kuliko eti kubaniwa matiti, mapaja au blow job. Joto la K halina mfanowe.Zipo njia za kumkojolesha kama mkewe hajisikii kumpa papuchi na hiyo hali katikati ya mapaja na kwenye maziwa
Watoto mmekatazwa huu uziUshauri mzuri sana
Una umri gani kiongozi? Unajua wanawake wakiwa wajawazito wanapitia mangapi?usikute mimba sio yako mkuu, kuwa makini na ilo. maoni yangu tu
Yaani appige maziwa wakati cha mviringo kipo ndani ya shuka.... napinga hoja mkuuUshauri mzuri sana
Buhahahhahh hhahahSema hata ukiwa na mchepuko bado kuna wakati dushe linamtakaga wife tu, hasa akiwa na lile joto la mimba.
Nani mtoto nina mtoto mwenye age kama yako mxxieewWatoto mmekatazwa huu uzi
MmhHizo njia kwa kweli siziwezi, ni heri kubaki na ugwadu kuliko eti kubaniwa matiti, mapaja au blow job. Joto la K halina mfanowe.
Usipinge hoja sababu mama kijacho hajisikii kutoa papuchiYaani appige maziwa wakati cha mviringo kipo ndani ya shuka.... napinga hoja mkuu
Unaguna tena!!
Yaani asitoe papuchi miezi 6 yote... njia lazma ipaliliwe vizuri ili mtt asipate taabu ya kutokaUsipinge hoja sababu mama kijacho hajisikii kutoa papuchi
Acha kuchepuka maradhi mengi saivMimi wangu alikuwa hivyo hivyo, tangia nimuoe sikuwahi kuchepuka ila sasa nina michepuko miwili nakula maisha. Wife ananichunga balaa
Maradhi yakikutaka ata kama huchepuki yatakupata tu.Acha kuchepuka maradhi mengi saiv