Mapigo Saba
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 129
- 28
Yaani utoe uzi jana.......leo uwe umepata. .....?......puliiz bana......
Yaani utoe uzi jana.......leo uwe umepata. .....?......puliiz bana......
We jamaa jinga sana aiseee
Inawezekana alikua anamuhitaji kwa Christmas...........looooo
Dah.......ningekuwa free ningempa kampani.......tatizo wote tushabukiwa kwa ajili ya msimu huu.......labda acheck kuanzia tar 5 huko January..........
frankly speaking... mimi kila nikionaga mwandiko wako tu, kamoyo kangu kanacheza mchiriku. Ipo siku nitafunguka tu kwakweli, nisije kufa nalo moyoni. Hata miss chagga nishamtaarifu kuhusu hili na akanishauri vizuri mno. :smile-big:
Preta nikaribishe na mimi basiBasi karibu nyumbani...... miss chagga umeshamwambia shemeji yako shindo she uta.......?
Basi karibu nyumbani...... miss chagga umeshamwambia shemeji yako shindo she uta.......?