Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

Umekuja kufanya tasmini watu wanasemaje...... Juu ya ulinzi wa......... Mwambie aliekutuma hutajawahi kuwaona walinzi wa kirwanda ndio kwanza taarifa hizi tunazipata kutoka kwako.........
 
Umeshawahi kuona kisogo chako kwa macho yako mwenyewe? Sio kwa kioo wala reflective nyingine yoyote?
 
Ujinga huu ni ulee wa 2010/15 eti Manjumba mazuri na UDA eti ni za Ridhiwani. Ohooo alikamatwa China ohooo mdingi akafuata usiku ule ule. Ujinga wa Watanzania. Nimegundua kuwa watumiaji wengi ni Mashamba boi na beki tatu.Wanafikiri ndani ya ukuta.
 
Hahahaha, mkuu mbona ni tayari inchi ishatekwa mda mrefu

Tangu enzi za nyerere huko iko chin ya ka inchi kadogo tunakokadharau

Yaaani hi inaitwa kukumbuka shuka kimekucha , too late ...!!
hivi ni nani anawaaminishaga mambo haya? sisi tuliopo huku ndani mbona hatuyaoni hayo mnayoyaongea huko mtaani?

watanzania mnapenda sana porojo.
 
nadhani wengi ambacho hamkijui ni kuwa nchi yetu ina watanzania wenye asili ya rwanda kama mnavyojua ile nchi ilipitia matatizo makubwa sana miaka ya tisini kwahiyo wapo wanafanya kazi na wengine kuendesha shughuli zao hapa nchini kama raia na wengine kama wakimbizi. suala la usalama wa taifa ni nyeti kuliko mnavyodhani .
 
Kuna umuhimu wa kuwafanyia vetting wajinga kama wewe kabla hamjaingia ndani maana huo upuuzi aliyekutuma ameliwa
 
Tuletee uthibitisho mimi siwaoni naona watanzania tu toka mikoa yote ya nchi yetu. Hao wanyarwanda wako wapi.
Ukiwa ccm huwezi kuwaona kama hata 1.5 trilion iliyopotea kwenye bajeti hamuioni sembuse hao walinzi kutoka rwanda?
 
Nilikuwa na hiyo idea ila nilishindwa kuipangilia namna ya kuiandika, sasa nikawa nawaza kwa hiyo hata tuliosoma nao katika shule na wazazi wao walikuwa wafanyakazi wa serikalini kumbe hawana haki hiyo, tuwafukuze au tuwafanyeje...umejibu swali langu....!!!!!
 
Hakuna mtanzania asiyejulikana ndani ya nchi ila wewe na wenzako ndiyo mnakuza maneno hayo.Kila mtu anajulikana na kazi zake ndani ya nchi hii.
Hili jamaa zezeta kumbe? Basi sawa.....pumbavu kabisa! (Aaah! nawaza kwa sauti tu)
 
Jana niliona sare ya jwtz ambayo sijaaahi iona tangu nianze kuwa na ufahamu pale magogoni embu mnieleweshe zile sare ni mpya au zipo mda mrefu
 
Wanyarwanda wamejipenyeza sana kwenye serikali hii mkuu.... Usishangae ukawakuta jeshini!!
 
Labda zile uniform wanazovaa pale Magogoni ndizo zinawachanganya wananchi maana hazifanani na zile wanazozijua za jeshi letu pendwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…