sijaona faida ya bikira

sijaona faida ya bikira

Status
Not open for further replies.

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,650
Reaction score
830,498
hii kitu ni ujinga mtupu na ina sifa za kijinga inatunzwa miaka na miaka halafu inakuja kuondoka at a go in few seconds hakuna kitu tena

na tukumbuke bikira zipo nyingi tu si kwa wanawake pekee, na kila siku tunabikiri wote wanaume kwa wanawake ....umenunua soda ikifunguliwa ukawa wa kwanza kuinywa basi wewei ndio umeibikiri kwakuwa maana ya bikira ni KITU AMBACHO HAKIJAWAHI KUTUMIWA NA MWINGINE
Kwahiyo pombe tunakunywa bar vyakula tunavyokula popote mavazi nk nk tunavibikiri kama tu tunakuwa ndio wa kwanza kuvitumia

kwahiyo msibabaishwe na bikira ya mwanamke kwakuwa kama hukubahatika kumbikiri basi utabikiri vingine
 
Sizitaki mbizi hizi....

sunguru.jpg
 
bikra ina faida... embu tazama kutoa bikra kunavocost kama huyo mtu sio mume au mke wako... all the guilty, regret, anger, insecurity in life, hufuata baada ya kusex na kuondoa bikra.
 
bikra ina faida... embu tazama kutoa bikra kunavocost kama huyo mtu sio mume au mke wako... all the guilty, regret, anger, insecurity in life, hufuata baada ya kusex na kuondoa bikra.

faida??NOT REALLY..anger, regret nk are just emotions you can get over,
there are no guarantees ukiitunza hyo bikra u got it all in life..the good man to cherish it,good life etc sio lazma
 
loooh!!! babu eeee wewe kama demu wako used utajijuuu, wacha wenye bikra zetu tuendelee kuzitunza
 
faida??NOT REALLY..anger, regret nk are just emotions you can get over, there are no guarantees ukiitunza hyo bikra u got it all in life..the good man to cherish it,good life etc sio lazma

yo right, sio lazma


kwan lazma uitunze kwa ajili ya the so called future hubby??
kwann usijitunze for your own self respect??
 
Ackwambie mtu ukimkuta na bkra kuna raha yake yan kama mkpendana kwel bas kutakua na mapenz ya dhat blv it frnds.....
 
Ahaha.....so funny eeh!"Ila umewaza sana
 
Hujaona faida ya bikira wap, sema hujawahi kumbikiri mtu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom