Naomba kueleza wazi kwamba sikumwelewa Mh. Panda kwa kauli zake tata alizozitoa wilayani Igunga nazo ni
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora kutomkataa mbunge wao Rostam Aziz wakati wa uchaguzi mkuu ujao kwa kusikia maneno yanayosemwa bungeni juu yake, badala yake wazingatie kile alichowafanyia akiwa mbunge.
Na
Iwapo mnataka kumchagua tena Rostam zingatieni amewafanyia nini katika ubunge wake. Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni, alisema Waziri Mkuu.
Maswali yangu ni:
- Je Mh Waziri mkuu anatueleza kwamba yaliyosemwa yiote kuhusu Mheshimiwa RA ni uzushi?
- Je wananchi Tusiyawekee maanani yanayosemwa bungeni na kwamba bungeni ni sehemu ya mizaha ya kupuuzwa?
- Je tuchukulie kauli ya Waziri mkuu kama kauli ya serikali kuhusu Tuhuma za ufisadi (akiwa kama mtendaji mkuu serikalini na alikuwa ziara ya kiserikali)?
- Je haoni kwamba amelidharau bunge na yote yanayofanyika humo?
- Haoni kwamba kauli yake inaweza kuanzisha mpasuko mpya ndani ya chama au kukuza ule uliopo?
Itapendeza kama akitoa ufafanuzi wa hili