Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,256 Reaction score 24,644 Aug 7, 2021 #21 Kipanya anaumiza sana kichwa
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Aug 7, 2021 #22 Ngongo said: View attachment 1883727 Click to expand... Yani hapo anaonyesha huyu Mtawala Mama ni mbaya kama mithili ya hilo joka.
Ngongo said: View attachment 1883727 Click to expand... Yani hapo anaonyesha huyu Mtawala Mama ni mbaya kama mithili ya hilo joka.
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Aug 7, 2021 #23 APEFACE said: Mama kalala/kajifunika shuka la kijani(CCM) humo humo kuna lichatu limelala Click to expand... Mama ndio joka lenyewe.
APEFACE said: Mama kalala/kajifunika shuka la kijani(CCM) humo humo kuna lichatu limelala Click to expand... Mama ndio joka lenyewe.
othiambo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2014 Posts 2,011 Reaction score 2,821 Aug 7, 2021 #24 Salary Slip said: Mama kajitahidi kuficha kuwa yeye si nyoka bali ni binadamu, ila akasahau kuficha mkia ulionyesha uhalisia wake kuwa yeye ni nyoka(mkia umemuumbua). Na mkia wenyewe ni unyanyasaji wa wapinzani. [/QUOTE Na wale aliowalalia ni CDM sio kwa mto ule Click to expand...
Salary Slip said: Mama kajitahidi kuficha kuwa yeye si nyoka bali ni binadamu, ila akasahau kuficha mkia ulionyesha uhalisia wake kuwa yeye ni nyoka(mkia umemuumbua). Na mkia wenyewe ni unyanyasaji wa wapinzani. [/QUOTE Na wale aliowalalia ni CDM sio kwa mto ule Click to expand...
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,454 Reaction score 38,169 Aug 7, 2021 Thread starter #25 Lambardi said: Kipanya anaumiza sana kichwa Click to expand... Kila mtu na fani yake.
Pablo Blanco JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 7,327 Reaction score 6,656 Aug 7, 2021 #26 ntarudi