mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Ni vizuri wanangu tukikutana paltalk ili kupata maujuzi mengine kutoka kwa ma IT experts duniani. Download paltalk messanger, install, nenda computer and technology. Tukutane huko wapo wataalam wa hii kitu, tusaidianeni katika hii technology.
PC tech utauliza lolote utapewa msaada, pia utashiriki kusaidia kusolve matatizo ya wenye shida mbalimbali za hii technology, na utapata ujuzi.
Lugha ni Kiingeleza, lakini kuna Tanzanux ambayo itakuwa ya Kiswahili na Kiingereza. Ni forum nzuri, haina madhara.