sindesunde
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 358
- 355
Kuna kuna jambo huwa linaniumiza sana na baadhi ya wanaume wenzangu sijajua ndio mnaitaga tabia za kike!
Unakuta mwanaume naamanaisha yule anajitegemea na kutegemewa unakuta kakaa sehemu na mamanzi anaongelea maisha ya kila anamjua bila sababu za msingi atotoshi unakuta anazungumzia mpaka maisha yake ya ndani ambayo kwangu mimi naona kama matusi!
Sasa nataka kujua hii ndio tabia ya wanaume wa dar maana inanichanganya mwanaume kukaa na demu kumjadiri yule ma mara yule hii tabia mara nyingi ninakutana nayo na watu wa mikoa ile ya kiswahili swahili mssada anaejua hii tabia anijuze!