jmchimbadhahabu
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 218
- 106
Tatizo nyie mbwa huwa ni wajinga
Hamuelewi kitu
Nyinyi mmeambiwa zile ripoti mmezikopi kutoka zile za zamani
pole pole utaelewa tuHata mimi sijamuelewa TL ila kwa utafiti wako huu hujafanikiwa kunishawishi.
Sawa Mkuu, ila tatizo hoja za TL zinapenya kwa kasi kwenye Bongo. Polepole ya nini?pole pole utaelewa tu
Sikosoi msimamo wake kuhusu marekebisho ya sera, sheria na kanuni ninachokipinga ni yeye kutaka kuwaaminisha WATZ kuwa zile data sio za kweli!Huwez Muelewa labda baada ya miaka 20 ijayo.....Ni ivi Lissu mantiki yake nikua Tusiangaike na Pumba wakati Mchele unaenda matani kwa matani bila monitoring yoyote ile ya maana....Bali Tuangaike na Sheria nzima za uzalishaji wa huo Mchele wenye thamani kubwa kuliko hizo Pumba mnazoziona apo Bandarini kwenye Makontena.... Hushawahi jiuliza Kontena Moja la Pumba Lima kilo ngapi na usishangae wanakwambia ktk kontena moja la Pumba wanapata Mchele kilo 27?????????
Sidhani kama kamati zilizopita zilichunguza kiwango na aina ya madini yaliyokuwemo kwenye mchanga huo zenyewe zilijikita katika masuala ya kiuchumi na sheria tu
Nadhani Lisu hajapinga. Amekosoa kuwa mapendekezo yato yamerola ripori za nyuma na akaonyesha some of those report. Dta yake inatofautiana na ripoti za nyuma... controversyNimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida sana pale ninapomsikiliza Mh.Tundu Lissu akipinga vikali taarifa hizo kwamba zimekuzwa mno na kwamba kiwango cha madini kilichotajwa kupatikana humo SI KWELI!
NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK;
Ninaomba nithibitishe kuwa kiwango cha madini(dhahabu tu) cha wastani wa kilo 28-47 katika kila kontena ni KWELI!
Nimekaa kwa muda mrefu sana katika kijiji cha KAKOLA ambacho kipo pembezoni tu mwa mgodi wa Bulyanhulu (1.5km),enzi za miaka ya 2005-2008 kuna deal zilizokuwa zikifanyika kati ya madereva waliokuwa wakisafirisha mchanga kwenye makontena na baadhi ya wakazi wa maeneo hayo ili kupata mchanga huo kwa njia za panya. Kiukweli watu walineemeka sana!
Baada ya kupata mkanganyiko qa taarifa za Mruma na msimamo wa Lissu ilinibidi nifanye UTAFITI mdogo ili kupata walau kujua kuwa ni nani MKWELI?
Ilinibidi nianze kuwatafta baadhi ya watu ambao walikua wanaupata mchanga huo na kuuprocess kwa njia za kienyeji kabisa.
Nilibahatika kuonana na vijana kama watano kwa muda tofauti tofauti amabao walikua wanashiriki na swali la msingi niliokua nawauliza ni JE KATIKA KILA MFUKO WA KILO 50 MLIPATA KIASI GANI CHA DHAHABU?
Majibu yao yalionekana kufanana sana ambapo walidai katika kila mfuko wa kilo 50 walipata wastani wa GRAMS 60-200 ya dhahabu.
Baada ya kujua hivyo ilinibidi kukokotoa ili nijue kontena zima lenye TANI 20 litatoa kiasi gano cha dhahabu?
Kwa kutumia wastani wa chini kabisa nilipata kila kontena GRAMS 24000 ambazo ni sawa na KILO 24, Ikbukwe kuwa hii ni local processing!
Sasa nikijaribu kilinganisha taarifa za Prof Mruma ambapo yeye anasema katika kila kontena la tani 20 lina wastani wa kilo 28-47 tofauti na taarifa za ACACIA zilizodai kuwa kila kontena lina wastani wa kil 3-5 ya dhahabu!
Mpaka hapo nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya viongozi kama Tundu Lissu anapinga taarifa za tume hizo
Kisaa kya mau nsiire wafo na mauTatizo nyie mbwa huwa ni wajinga
Hamuelewi kitu
Nyinyi mmeambiwa zile ripoti mmezikopi kutoka zile za zamani
Sidhani kama kamati zilizopita zilichunguza kiwango na aina ya madini yaliyokuwemo kwenye mchanga huo zenyewe zilijikita katika masuala ya kiuchumi na sheria tu
siku ukijifunza kusoma, kuelewana na kufikiria kwa mapana utaelewa nyie ni wale mnaopewa elf 9 hapo lumumbaNimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida sana pale ninapomsikiliza Mh.Tundu Lissu akipinga vikali taarifa hizo kwamba zimekuzwa mno na kwamba kiwango cha madini kilichotajwa kupatikana humo SI KWELI!
NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK;
Ninaomba nithibitishe kuwa kiwango cha madini(dhahabu tu) cha wastani wa kilo 28-47 katika kila kontena ni KWELI!
Nimekaa kwa muda mrefu sana katika kijiji cha KAKOLA ambacho kipo pembezoni tu mwa mgodi wa Bulyanhulu (1.5km),enzi za miaka ya 2005-2008 kuna deal zilizokuwa zikifanyika kati ya madereva waliokuwa wakisafirisha mchanga kwenye makontena na baadhi ya wakazi wa maeneo hayo ili kupata mchanga huo kwa njia za panya. Kiukweli watu walineemeka sana!
Baada ya kupata mkanganyiko qa taarifa za Mruma na msimamo wa Lissu ilinibidi nifanye UTAFITI mdogo ili kupata walau kujua kuwa ni nani MKWELI?
Ilinibidi nianze kuwatafta baadhi ya watu ambao walikua wanaupata mchanga huo na kuuprocess kwa njia za kienyeji kabisa.
Nilibahatika kuonana na vijana kama watano kwa muda tofauti tofauti amabao walikua wanashiriki na swali la msingi niliokua nawauliza ni JE KATIKA KILA MFUKO WA KILO 50 MLIPATA KIASI GANI CHA DHAHABU?
Majibu yao yalionekana kufanana sana ambapo walidai katika kila mfuko wa kilo 50 walipata wastani wa GRAMS 60-200 ya dhahabu.
Baada ya kujua hivyo ilinibidi kukokotoa ili nijue kontena zima lenye TANI 20 litatoa kiasi gano cha dhahabu?
Kwa kutumia wastani wa chini kabisa nilipata kila kontena GRAMS 24000 ambazo ni sawa na KILO 24, Ikbukwe kuwa hii ni local processing!
Sasa nikijaribu kilinganisha taarifa za Prof Mruma ambapo yeye anasema katika kila kontena la tani 20 lina wastani wa kilo 28-47 tofauti na taarifa za ACACIA zilizodai kuwa kila kontena lina wastani wa kil 3-5 ya dhahabu!
Mpaka hapo nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya viongozi kama Tundu Lissu anapinga taarifa za tume hizo
HahahahahaKisaa kya mau nsiire wafo na mau