Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Lengo ni kupata hiyo platform ya kusimama kuifanya hiyo kazi... Wengine huwa wanatumia cherry picker
Nadhani kuna mizigo ambayo iko kwenye hilo lorry ambayo inatakiwa kuingizwa kwa hilo ghorofa..
Hata mimi mwenyewe sijajua lengo lako ni nini?
Hauchekeshi:yawn:Waliamka wakakuta lorry ghorofani...
Sasa hapo wanalishushs
Hauchekeshi:yawn:
Hauchekeshi:yawn:
Ah aha ha ah mkuuu du
Naona uko na Bob Marley and the WailersNani kasema nipo hapa kuchekesha?