Sijaelewa kinachoendelea

Viol kuwa uyaone...ya kuku kuoshwa na ya mguu pia...
 
Last edited by a moderator:
dah ila idea nzuri labda ili asiguswe na utitiri
siyo hivyo Viol...ukiona hivyo ujue huyo kuku ni kijeba sasa anaoshwa ili angalau kupunguza magwambala, baada ya hapo atapakwa mafuta ya kula kidogo miguuni halafu huyoo sokoni...ukinunua unajua ni ka-under age!!!thubutu... subirii shughuri yake utaiona kwenye kumpika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…