Sijachaguliwa AjiraPortal kisa Passport size

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,192
Reaction score
6,144
Wandugu naomba kuuliza, Pale katika account ya ajiraportal unapotuma maomba sehemu pekee iliyopo ni kuambatanisha barua ya maombi pekee.Je, sehemu ya kuambatanisha picha iko wapi?
 
Mkuuu
Polee sana
Maan waonyesha ulipania

Lkn jambo moja tuu achana na hao jamaa hawana issue

Utapoteza fedha zako na rasilimali zako mkuu
Nishasema
 
Wandugu naomba kuuliza, Pale katika account ya ajiraportal unapotuma maomba sehemu pekee iliyopo ni kuambatanisha barua ya maombi pekee.Je, sehemu ya kuambatanisha picha iko wapi?
Hata hii awami ya pili hawajakuchagua..?
 
M pia ilikuwa ivyo ila jaribu kuweka passport size pale juu kushoto
 
Back
Top Bottom