Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,437
- Thread starter
-
- #61
Naunga mkono hoja.Bado we ni mtoto,haitoshi kukuita mtoto tu bali n mpumbavu,kama unaweza kuchanganywa na kitu kidogo kama hicho basi huna haja ya kuwa memba wa jf
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Njoo na wewe, tukupendezeshe. [emoji41]
Anapewa ad topeEzekiel Mbaga
Mkuu chunga maneno hayo yananichoma
mm apa pia ni dactari wa viungo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Naona leo Ni MAJUTO TU humu
[emoji3][emoji3][emoji3]...Jamani nafasi ya mtu wakunishika miguu nikifanya mazoezi yatumbo bado ipo wazi... Alie tayari aje PM
MTAKOMA kuchukua ushauri wa PIGA CHINI HUYO.
next time utakuwa makinWaterbender
Mkuu me kaka yako so punguza ukali wa maneno