Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 379
Hii elimu ya Tanzania ovyo tupu kukaa kote darasani zaidi ya miaka 20 kutafuta degree Leo hii sioni faida ya hii elimu wenzangu wengi nlioanza nao shule wengine waliacha Leo hii wametoboa najilaumu sana muda na PESA niliyotumia kusomea PESA nliyokopeshwa chuo kikuu Bora ningepewa tu na kufanyia Mambo mengine sina hamu na elimu mbovu ya Tanzania