Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Habari wakuu,

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
 
Habari wakuu

Acha utabili mkuu. Mpira unadunda hivyo timu yoyote inaweza kushinda. Ambayo haiwezekani kupewa kipaumbele kushinda ni yanga kwa sbb tayari ilishatolewa mapeeeeema.
 
Chimba lazima akalie Liboro Fc ile ya Angola kama sikosei.hana kikosi chochote maana.wakati wenzie wana sajili yeye akaona achukue vitoto vya shule sijui ana mpango wa kufungia kindagateni
 
Kwasababu tumeanzia nyumbani ndio fact?
Hapana
Ila kwa aina ya kikosi tulichonacho sasa hatuwezi pata ushindi wa kutosha hapa kutufanya twende kule tukaudefend au hata kushinda kabisa.
 
Habari wakuu

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Mke mwenzie na msukule kanye ukalalwe na gsm.
 
Habari wakuu

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
No 6= lwanga, mnaemuita mkata umeme.
Imekuaje tena, hafai au hakati kama tanesco?

No 10, Bwalya, mnarmuita magician mtu wa miujiza, vip tena hachezi vzr au hana miujiza yyte?
No 9, Kagere mnaemuita the ball striker. Imekuaje tena, hafungi vzr?

Basi tutawapa Aucho bure, maana mtasingizia kua mlimkosa Aucho ndo maana mkatolewa na makhirikhiri na wapiga mishale myekundu.
 
Unadunda kweli nlicho kiona Botswana na kilicho tokea kwa mkapa kilinishangaza
Unadunda haswa ... Na ndicho kilichotokea Simba vc Mufurila Wanderers miaka ile ; Simba ilivyosonga mbele baada ya kufungwa 4-0 Dar na kushinda 5-0 Kitwe, Zambia.
 
Muwahini Aucho akawaokoe maana mpaka msubiri yanga atafute wachezaji kisha mpanue madomo kuwataka.
Au kanoute, banda, sakho, kibu wanawatosha?
 
Chimba lazima akalie Liboro Fc ile ya Angola kama sikosei.hana kikosi chochote maana.wakati wenzie wana sajili yeye akaona achukue vitoto vya shule sijui ana mpango wa kufungia kindagateni
Hahahaa, gear river ni hatariiii
 
Back
Top Bottom