Simba yafanikiwa kunasa saini ya beki kitasa wa Red Arrows ya Zambia.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,885
38,842
Club ya Simba ya Dar es Salaam imefanikiwa kunasa saini ya mchezaji James Chamanga wa Timu ya Taifa ya Zambia,Chipolopolo, anaechezea Red Arrows ya Zambia ambao ni mabingwa wa Zambia msimu huu. Beki huyo Kitasa mwenye umri wa miaka 22 amesajiwa kuja kuwa pacha wa beki kitasa wa Kenya Joash Onyango mwenye umri wa miaka 25.
FB_IMG_16526090183988368.jpg
 
hata haichekeshi huyo si chamnaga veteran wa chipolochipolo aliyeshinda afcon 2012 na kaitwa juzi national team ni striker na anacheza kama striker
 
Club ya Simba ya Dar es Salaam imefanikiwa kunasa saini ya mchezaji James Chamanga wa Timu ya Taifa ya Zambia,Chipolopolo, anaechezea Red Arrows ya Zambia ambao ni mabingwa wa Zambia msimu huu. Beki huyo Kitasa mwenye umri wa miaka 22 amesajiwa kuja kuwa pacha wa beki kitasa wa Kenya Joash Onyango mwenye umri wa miaka 25.View attachment 2225479
Kwakweli hiyo digrii ya utopolo uliotunukiwa chuo kikuu unaitendea haki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom