Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,453
- 69,260
Mie binafsi sijawahi kujitutumua. Niliwahi kumtoa Demu wa Kishua pale Buguruni Sheli na sikuona shida.Nyie wanaume muache na muwe wakweli
Mnadhani mkijitutumua ndo mnaweza kumpata a girl easily kumbe [emoji28]
HeheeeAta ww ungeambiwa chagua any place I bet ungechagua hata Hyatt [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeona jamani jinsi BIDHAA inavyouzwa kwa Ghali?
Hapa MUUZAJI wa BIDHAA amekasirika amekutana na MNUNUAJI ambae anauchungu na Pesa yake.
Ila Muuzaji wa BIDHAA hana CUSTOMER care nzuri alipaswa aitunze hiyo number just incase next time aweze KUVUNA/KUPUNUSA fedha za Mteja.
Bora ulivyofuta namba yake, huyo angekusumbua sana siku za usoni....
Hana haiba ya uanaume, hajiamini, hana aibu pia.
Unatakiwa ujiongeze na wewe, mwanamme anapokwambia chagua ujue anakupima akili yako.Yy mwenyewe aliridhia kama angekua hawezi sio uwe mkweli hamani khaaaaa
We ungekua mkweli si ungekua unakula kwenu, kwanini kila ukiambiwa uagize chakula unaagiza we huna aibu kiumbe gani ambae hujawahi kushiba?Muwe wakweli sio kujitutumua kumbe sio maisha yako ya uhalisia mwisho mnaharibu
Na hii ndio sababu hata viongozi wetu ni wafisadi kwa sababu hawajali mali na pesa za Umma. Ni utamaduni wa hovyo.Sisi huku ukimpata mtu limbukeni ambaye hana exposure ukampeleka sehemu ya maana basi anaona leo ndiyo kapata bahati. Ataagiza vitu ghali ambavyo angekuwa yeye ndo analipa asingevigusa.
Kweli kama we mjanja utagundua sio issue sana. Ni issue wa watu wasiojielewaLile tundu kwa wajanja halina thamani tena....
Sema wewe ulikuwa humtaki pia.It’s not what you think
Uyu alikua ananitaka tuingie kwenye relationship ila Bado nilikua sijamkubalia
Sasa ndo akaona Sijui akisema choose any place Sijui nini ndo mm ntalainika kumbe kaharibu mwanaume yule asiejiamini
Huwaaa unauza sh ngap chapu....hakuna kulalaa...
Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!
Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.
uchoyo tu[emoji23][emoji174]
HeheeeMy point is Kwann mwanaume usiwa honest kuwa unaweZa kuafford places flani?
Na kama mwanaume unataka 50 -50 si useme sasa ili mjadiliane mjue how we move forward
Salio
hiyo tabia inaitwa salio.
Hebu na wewe siku muulize hayo maswali uone je, ata respond.
Muwe mnatumia pesa zenu pia
Braza alizingua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilimkaribisha though na kwanini useme nimeshashiba siagizi chochote zaidi ya maji
Hajazingua hata kidogo..!Huyo ana experience na wanawake .Kuna mwanamke anaagiza chakula cha 15000/- halafu anadonoa kidogo anasema ameshiba chakula kinabaki chote.Kama ulikuwa umeagiza cha kwako itakuuma sanakidume kimezingua..
Wewe pia ni masikini huna chochote cha kutoa kwenye mahusiano zaidi ya pussy! Si na wewe ungetoa hela ukamuagizia ukasema "best! Naona ulikuwa na njaa ebu gonga na hii menu! Tafuteni hela wadada!
Kwani unauza nini dada?[emoji2957][emoji12][emoji2957]
Hakuwa na kela ya kutosha