Siipendi hii tabia

uchoyo tu😂💔
 
Wewe pia ni masikini huna chochote cha kutoa kwenye mahusiano zaidi ya pussy! Si na wewe ungetoa hela ukamuagizia ukasema "best! Naona ulikuwa na njaa ebu gonga na hii menu! Tafuteni hela wadada!
 
Pasu kwa pasu
 
Kwani unauza nini dada?🤪😜🤪
 
Hakuwa na kela ya kutosha
 

Wewe ndo wale wale hamna cha kuchangia zaidi ya kutoa pussy na mwanaume akiomba mtoko huwa mnafanya kama kukomoa ivi kwann usinge chagua sehem nzuri ya bei rahisi? Kwanza jamaa angekuona una akili sana hata mshikaj huko alipo na yeye atakuwa amefuta na namba yako kabisa!


Nilimuombaga dem mmoja mtoko akakubali nikampa location tutakapo kwenda akasema mbona mbali sana gari yake haina mafuta nikamwambia usijali nitakutumia hela ya wese akasema poa nilichokifanya nikasema ngoja nione huyu ni mwanamke wa aina gani nilimtumia 30k nikamwambia weka mafuta hiyo akajibu sasa 30k itatosha mafuta gani na gari yake ina engine kubwa asee hapo hapo nikasema basi baki huko ulipo mimi nitakufata nilivyokata simu tu nikafuta na namba stupid kabisa! Yani 30k ya mafuta yeye anaona ni ndogo mbona hakuwa nayo sasa
 
Wanawake wa sasahivi wanajitukuza Sana na sisi wanaume tunawatukuza Sana maana watafanya Kila liwezekanalo Ili mwanaume aonekane wa ajabu.Watasema wanaume wanawakosea sijui wajirekebishe hapa mara hapa.Swali langu Ina maana Hawa wanawake hawana makosa au ndyo wametuzidi akili?

Acheni kuwapa vichwa

Mara

1 Jinsi ya kumridhisha mwanamke

2 Jinsi ya kufanya dating na mwanamke iwe nzuri

3 Jinsi ya kumfanyia hivi mara vile mwanamke.

Ni upuuzi mtupu.Ishini kadri ya uwezo wenu.Kumfanya mwanamke sanamu mwanamke hakutakupeleka popote.
 
Na kibaya zaidi Hana sasa hata elfu 10 mfukoni.
 
Wewe si ndo juzi kati hapa ulikuja na uzi wako wa kutaka kumtema msela kua humpendi lakini at the same time unataka abaki in ur life kwa kigezo cha "hakuna ajuaye kesho?".
Kumbe hizi ndo mbanga zako za kupenda maisha ya juu eh??
Simtetei jamaa kwa alichofanya, but hata wewe una ka tatizo. Huyo mjamaa, wewe ndo unajua kabisa pumzi yake kiuchumi, so ungeweza kuchagua sehem affordable.
Pili, jifunze na wewe kutumia hela yako. Mnapenda ganda la ndizi sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…