Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,861
Jamaa kalipa sio kwamba kalipiwa. Kosa lake kala msosi aliomwagizia manziWewe umekosa heshima ya kiasili hata kama huyo jamaa kazingua, ukiwa ni mwanamke ambaye umefundwa ulitakiwa utake responsibility ya makosa yake we ungemlipia tu
Hapo lazima kwenye maongezi utie chumvi kidogo maana nyie hampendi ukweli sometimes.Kabisa...sio kwenye bill tu,hata kwenye maongezi....unaeza kuwa unaongea topic mwenzio kaboreka we unaongea tu,lazima uwe makini kujua hiki ninachozungumzia kina muimpress mwenzio?au ndio napuyanga?first date ni hatari
Alicalculate vibaya hesabu zake,,,yaani ye alivyoambiwa achague yeye akajua jamaa atakuwa nazo🤣Hapo lazima kwenye maongezi utie chumvi kidogo maana nyie hampendi ukweli sometimes.
All in all mdada kama angekuwa makini angegundua Toka mwanzo wakati abaulizwa anataka kwenda wapi. Bila shaka jamaa alivyopewa location hata kukubali yake ilikuwa ya shida, na hapo wanawake wengi panawashinda kung'amua
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Daah hapo mwanaume mwenzangu amezngua kichiz afu uskute jamaa altoka kuzegega ndio akapat hako kahela maskin kakaishia kwenye misosi expensive,
Sema nn Mamah na ww n mchoyo tu.
Hapo lazima kwenye maongezi utie chumvi kidogo maana nyie hampendi ukweli sometimes.
All in all mdada kama angekuwa makini angegundua Toka mwanzo wakati abaulizwa anataka kwenda wapi. Bila shaka jamaa alivyopewa location hata kukubali yake ilikuwa ya shida, na hapo wanawake wengi panawashinda kung'amua
Kaacha mme kisa sahani ya chakula???? Naweza kukudhalilisha mbele za watu kimakusudi ili nipime ikitokea tukio siriaz lakudhalilisha utakuja kulibeba??? Unaweza kujifanya unampima mtu kumbe yey ndo anakupima kwenye mahusiano mapya chunga sana hatua zako,,,,,utakuja kujifanya unamuacha mtu kumbe yey ndo anakuachaNa huyo ndio alikua awe mume wako huko mbeleni.
Shauri yako.
Mtafute myajenge uskute na yeye kashaweka thread yke kwengneko anakunanga kama ww unavofanya hapa.Mimi sio mchoyo ndo maana nlimwambia tule wote
Tatizo lenu mnataka wanawake kama wa US ila ninyi hamtaki kuwa kama wanaume wa US so hata hao hamtawaweza, hivi unafahamu kwamba kule kila kitu ni 50/50 siyo kutafuta hela tu hata kazi za nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumbani, kulea watoto nk nazo ni 50/50, kule hakuna cha eti sijui haya ni majukumu ya mwanaume au haya ni ya mwanamkeTukiwatolea mifano ya USA wanatujibu twende tukaoe huko
Ndivyo mke anavyotakiwa kupimwaupewe hela ili ununue ambavyo hata hutumii ilimrad uspend tu
Kijana umeongea ukweli kabisa. Hapo kwenye para ya mwisho umeiweka vizuri sana jamaa hakutakiwa kufanya hivyo alivyofanyaNiliwahi pata kasheshe ya kufa mtu. Nilikuwa bado mgeni mgeni. Profesa wangu alikuja akanikuta nimekaa sina hili wala lile akaniambia Shimba let's go grab some lunch. Sasa nikafikiri kuwa kwa vile yeye ndo kaniambia basi atakwenda kulipa bila shaka.
Tumepiga msosi tumemaliza namwona huyoo amekwenda akalipa bili yake huyoo akatoka nje kunisubirisha. Na mfukoni sikuwa hata na wallet. Kikawa kimbembe!
Ndiyo nikajifunza utamaduni wao. Hata binti ukimtoa out anakuja amejiandaa kulipa nusu labda uwe muungwana umkataze. Na hii inasaidia sana mtu kutoagiza wines ghali hizi za $100+ kisa tu kaona kuna mtu anamlipia. Nilipenda sana utamaduni wao huo.
Sisi huku ukimpata mtu limbukeni ambaye hana exposure ukampeleka sehemu ya maana basi anaona leo ndiyo kapata bahati. Ataagiza vitu ghali ambavyo angekuwa yeye ndo analipa asingevigusa.
Ila kama uko vizuri na ukamhakikishia mtu kuwa aagize cho chote, siyo vizuri tena kuja kumgeuka kama jamaa yetu alivyofanya. Na mabinti wenye uzoefu atamwacha kwanza jamaa aagize na yeye atachukua hints kutoka pale. Na kama wamezoeana anaweza tu kuuliza point blank kwamba una uhakika naweza kuagiza cho chote?
Kama unataka hilo kaa nyumbani tulia tu hamna siku utalala njaa ila beki 3 hakuna. Ufanye kazi za nyumbani tu.Tatizo lenu mnataka wanawake kama wa US ila ninyi hamtaki kuwa kama wanaume wa US so hata hao hamtawaweza, hivi unafahamu kwamba kule kila kitu ni 50/50 siyo kutafuta hela tu hata kazi za nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumbani, kulea watoto nk nazo ni 50/50, kule hakuna cha eti sijui haya ni majukumu ya mwanaume au haya ni ya mwanamke
Wote mnatoka kwenda kazini kutafuta pesa na mnasaidiana kulipia bills na pia kazi za nyumbani mkirudi mnasaidiana kwa pamoja, na kulea watoto ikiwemo kuwalisha na kuwaogesha mnafanya wote au mnaajiri nannies na hutasikia wanaume wao wakilalamika, sasa huku wanaume wanataka wanawake wawasaidie kutafuta pesa na kulipa bills ila wao hawataki kuwasaidia kazi za nyumbani
Na wakiajiri housegirls utasikia wanaume wanaanza kulalamika mara "oo wake zetu wamejisahau sana kila kitu wanawaachia housegirls" matokeo yake wanaanza kutembea na hao housegirls, sasa mke anayetoka kwenda kufanya kazi au biashara na kukusaidia majukumu yako atawezaje kujigawa kufanya na majukumu yake ya nyumbani, yani mnarudi wote toka kazini mmechoka ila mkifika mke tena ahangaike na kazi za nyumbani ila mume anaweka miguu juu eti anapumzika
Mimi nilijua kwa sababu unaela utaongeza kingineYani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Sawa na Hakuna kuninyanyasaKama unataka hilo kaa nyumbani tulia tu hamna siku utalala njaa ila beki 3 hakuna. Ufanye kazi za nyumbani tu.
Ulikilipia hicho chakula unachooneshea ULAFI?Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Kwa hela zip mlizonazoKama unataka hilo kaa nyumbani tulia tu hamna siku utalala njaa ila beki 3 hakuna. Ufanye kazi za nyumbani tu.
Sasa si unataka ulelewe kama yai.Kwa hela zip mlizonazo
Hela za mawazo