Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
890
Reaction score
2,203
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date Alaf yy mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba Alaf ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu, Yani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya mm nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa . Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment. Nimefuta his number staki tena kumuona wala kuwasiliana nae.
Na nyie mjifunze kujitegemea
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
🤣🤣🤣DADA ANDIKA TENA BILA KULIA, MANA NAKUONA UNAANDIKA UNALIA HAPO MPAKA VIKAMASI VINAKUTOKA🤣
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Mwanaume kama huyo futa namba hakufai kabisa.

Hajiamini, hana uwezo wa kuishi na wewe.pia hongera we ni mwanamke unayejielewa.

Next few wks nitakuja na series ya kuwafunda wanaume jinsi ya kuandaa mtoko wenye mafanikio kwa Mwanamke unayekutana naye kwa mara ya kwanza

Tutajadiliana vifungu vifuatavyo

1. Jinsi ya kupanga kukutana
2. Namna ya kujiandaa kukutana
3. Namna ya kuvaa siku hiyo( hakuna haja ya gharama za nguo)
4. Jinsi ya kutembea
5. Tabia na mienendo za kuwa nazo au ,a kuepuka unapokuwa n mwanamke kwa mara ya kwanza.

Ktk uzi wa Mwanadada huyu ametaja mambo mazito ambayo braza kakosea sana na imepelekea Mwanadada kumuona ni mtu wa hovyo na hafai kuwa Mwanaume wake.

Stay tuned.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Na huyo ndio alikua awe mume wako huko mbeleni.
Shauri yako.
 
Nawe ulikuwa mlaku sana, ulichagua sehemu ya gali na vya ghali eboo.

Kwani babako aliwahi kumpeleka ma mkwe pale?
🤣🤣🤣
 
Ila wewe pia jinga sana. Ulivyoambiwa chagua ungechagua sehemu ya bei rahisi... angalia sasa malengo yako hayajatimia... jamaa kafakamia MSOSI WA NDOTO ZAKO. Halafu wanawake mnaopenda kiswanglish huwa mnakera balaa. Mimi ningekupeleka Holiday Inn lakini ungekunywa maji tu.
 
Mmeona jamani jinsi BIDHAA inavyouzwa kwa Ghali?

Hapa MUUZAJI wa BIDHAA amekasirika amekutana na MNUNUAJI ambae anauchungu na Pesa yake.

Ila Muuzaji wa BIDHAA hana CUSTOMER care nzuri alipaswa aitunze hiyo number just incase next time aweze KUVUNA/KUPUNUSA fedha za Mteja.
 
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.

Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.

Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.

Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa .

Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.

Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Huwaaa unauza sh ngap chapu....hakuna kulalaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom