In vizuri ukajua usikokipenda zaidi kuliko unachokipendaMkuu vyombo vyote ni wafanyabiashara wako kazini kusaka pesa, wanaangalia upepo unaendaje wanacheza na akili za watu. Sawasawa na kuamini mwanasiasa ataweka maslahi ya wananchi mbele kuliko maslahi yake binafsi, thubutu? Ndio maana wakikosa nafasi kwenye chama kimoja wanahamia kingine, hwana lolote, maslahi yao tu!!!
Kila chombo cha habari kina mrengo na misimamo yake, mingine iko wazi na mingine imejificha, mwisho wa siku lazima watengeneze pesa.
Mfano; LowassaNdio maana wakikosa nafasi kwenye chama kimoja wanahamia kingine, hwana lolote, maslahi yao tu!!!
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.
sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Mbona Fox News wako upande wake hata pale anapoonyesha failure ya wazi? media huwa ina upande.Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.
sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Umesahau Fox walimwandama sana Obama so sasa zamu yao. Hii ni kwa zamu so Trump awe mvumilivu aachane na tweeter kwanza atie akili vinginevyo tundu la sindano sijui atatoka au ataingia.Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.
sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Kwa lugha rais sana ni kuwa huipend CNN kwa kuwa unampenda sana Trump, right?Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.
sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Ndo hapo sasa...Hao CNN wanajua kwamba huwapendi?
ni sawa na mtu kuichukia CCMHao CNN wanajua kwamba huwapendi?
.., ukiangalia tu media ambazo zna mitazamo ifananayo na ww utakua brainwashed mkuu we angalia tu na CNN hata kama huipendi ili upate alternative viewsNilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.
sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Chuki dhidi ya CCM ni realistic kuliko ilivyo dhidi ya CNN.ni sawa na mtu kuichukia CCM
Sijakuelewa mkuu samahani nieleweshe hapaCNN nil liberal TV...
FOX ni the opposite na CNN