Siipendi CHADEMA


Kamera za CCTV za bunge zamnasa mbunge akiweka vitu vinavyodhaniwa kuwa vya kishirikina katika kiti cha spika.

Mwakyembe anyonyoka nywele zake kichwani.

Hivi mama Salma k. ana wadhifa gani ccm vile? baba je? mtoto? binamu? na wale watoto wa vigogo walipewa uongozi ni akina nani vile?

"CCM kimepoteza dira" mumkorimbe huyo bwana haraka.

hivi yule anayejengewa ghorofa pale sinza ni nani? nani anamjengea pale?

halafu, damu nataka kwenda kubadili damu yangu nje ya nchi, nipangieni safari ya haraka la sivyo nitakufa.
 

mwaka 2015 hamta waona tena hao panya kwani tume andaa sumu Kali ya kuwamaliza wote nakuambia this time hawasalimiki hata mmoja
 
Mods mbona umeiunganisha thread yenye maudhui tofauti na hii..??? Au kwa kuwa imefanana title..?

Naona mwigulu kakupiga kibuti sasa unatamani walume ndago,ulishachuja kitambo mwanike! chadema baba lako tu ije mvua yaje masika.
 
Wakuu huyu jamaa ni mwenzetu ametumia style ya stacator, Wewe geuza upande mwingine waahilingi utapata majibu
 

mpigilie ww una akili sana. Unafikisha ujumbe sahihi kwa watu sahihi kwa style makini inatomvutia mhusika harafu inamuuma na kumchoma.Hapo gamba anatamani kuisoma ila akifika katikati inamchoma. Ama kweli umejaaliwa kufikisha ujumbe kwa staili ya panua anavyo kunga'ta kidole na kupuliza.
 
duuh !kuna sijui watoto humu o mtu kashiba sana kaamua kupumzikia hapa(1) chadema kinatumia police kuua watu "kwa maamlaka yapi iliyonayo" Chadema kinajipendekeza kutetea raia na huku ni kazi ya CCM "chadema kina wabunge waliotumwa na wananchi pale Bungeni na ni kazi ya chama chochote cha siasa na pia mtu yeyote kutetea haki yake na hata kuthubutu kwa wenzake" my wonder most of us they support this thread THOUGH of many mistakeS tuache ushabiki kwa sasa kama kuna changamoto za huduma mbovu ktk utoaji WA Elimu,maji na hata kodi wote tunalipa haijalishi your ism leteni thread zenye mashiko kwa watanzania wote sio kusikiliza maneno ya vijiweni unakimbiza kuleta hapa "la kuambiwa ongeza na lako"UTUMWA WA AKILI UTATUSUMBUA SANA ,,God bless you i hope you will change one day,one love
 
sasa naona wajipalia mkaa na unajikoka wakati gesi iko juu

ndo nini kujiyumbanisha hapa nimepaste

1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

halafu yaelekea una upenyo mdogo wa kufikiri kama wenzio ccm hivyo acha tukuache tusije kukupeleka icu bure wakati bado ni mapema nawe hujafaidi marupurupu ya uzeeni mwako


 
mkuu huyu mtoa mada amejikoroga mwenyewe hayo aliyoorodhesha hapo yanafanywa na hao hao wanalugha wenzake CCM tena bila kificho na kumaliza kodi za wananchi utadhani ni mali ya familia yao?
anataka tumpeleke milembe kwenda kuwasaidia wale wenzake kule naona amechizika
 
Kweli hukipendi chadema ndio kwa kushirikiana na zitto mlianza kusaliti chama.
 

Mtoa mada wewe umeshiba sana na hela haramu za kodi zetu,,
 

Huu mtihani ni mzuri sana nimeupenda.
 
...Hiyo hiyo mijitu ya CHADEME ikamfelisha Mwanaasha...
...Hiyo hiyo ikamkamatisha mwanamfalme na sembe kule nchi ya wenye macho madogo(Chin..),haikutosheka ikamtaja yule mbunge wa chama pendwa k'ndoni anahusika na unga chapa mandarx!
...Yamemshawishi mkulu asitekeleze ahadi zake 2005 na zile za 2010 ili yachukue nchi kiulaini 2015!
...Wamewaumbua polisi kwa mauaji ya Mwangosi na bomu kule Ars kwa kutoa ushahidi wa picha za vidio/mnato!
...Wameeleza ukweli kuwa raisi ni dhaifu..wakamwita yuleWapigwe tu mi nasema.. mpubav badala ya kuacha tuone wenyewe!
...Kana kwamba haitoshi wamemfukuzisha kazi Yuu sufuu wa MaRope,Wilii Soni Muu Ka Maa.
...Wametoa ajira kwa AbduTembo KinaFaru na yule mzee aliyeoa juzi juzi nani tena yule Fiili..
 
Unajua inaonyesha akili yako ilivyo kwa jinsi unavyo tafsiri Akili kama Akili..
Unafikiri akili ni ile ya Darasani tu ndooo akili..
Kuna Formal na Infoirmal Knowledge.. Siku zote kwenye maedeleo ya Leadership Akili ya kuzalia huwa inahitajika sana, ndo maana hamna shule zinazo fundisha kuwa raisi.
Sasa sijui inamaanisha nini ukisema Mbona Mwenyekiti wa Chadema hana Akili na anaongoza watu wenye PHD na maprf.:shocked::shocked:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…