Siiafiki haki za binadamu kwa uongozi wao

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
kitengo cha haki za binadamu LHR toka imeanzishwa hapa nchini mkurugenzi lazima anatoka kskz na ofisi kuu ipo dar na arusha tu.
na cha ajabu zaidi kila linalotokea kwa chadema hata la kipuuzi utawasikia wakijifanya kutetea wakati wapo wananchi wananyanyaswa polisi kwenye mahakamani.
wao ni kuangalia jinsi chadema tu.
ni jambo moja tu tuelezwe wapo kwaajili ya chama hicho
 
naunga mkono hoja tumeona watu wakibomoleawa nyumba zao wao wakawa kimya tuuu ... eti ni haki ya kikatiba kwa wananchi kupata habari LIVE this is silly.
 
Hata hizi taasisi nyingine ambazo uwepo wao unategemea fedha za wafadhili, na zenyewe ni majipu pia. Zinaendeshwa kijanjajanja, serikali izitazame kwa ukaribu.
 
Back
Top Bottom