Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Ukombozi gani? wa kupauliwa kanisa au?
Kama kawa kanisa lazima litusaidie wanachadema,ushindi upo karibu.yesu anailinda na kuiongoza chadema mpaka kieleweke.
Haya ndio matatizo ya viroba!? Ulevi mtupu!
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi
Kwa mujibu wa taarifa za maendeleo jimboni Siha... Mh.Aggrey Mwanri amejitahidi sana kuleta maendeleo jimboni mwake...
Mkuu si ilikuwa katika kuchangisha fedha za kupaua kanisa, sasa ukombozi hapa unakujaje? Nikadhani wanataka wakombolewe katika kujenga makanisa!
Kama kawa kanisa lazima litusaidie wanachadema,ushindi upo karibu.yesu anailinda na kuiongoza chadema mpaka kieleweke.
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi
hao watu mbunge wao sio Mwanri? walivyokuwa wanamchagua hawakuliona hilo? s#3~zi type kabisa
Mbona umeongea kama mtu mwenye mapungufu kiakili? Chadema inamkomboa nani? Uhuru tulishaupata tuelezeni sera zenu mtafanya nini?
Chama
Gongo la Mboto DSM