Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi