Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Na wanaume wengi ndo wanawapenda wanawake wa hivyo..sijui kwanini
How lucky am I..Msupa wangu hana hata moja hapo
Na wanaume wengi ndo wanawapenda wanawake wa hivyo..sijui kwanini
she never calls or text apart from when she needs..................................
Yap
wewe uko hivyo?
Heaven Sent pia hana hata moja hapo. So, it's lucky us.
Kuna watu ni wagonjwa wa akili
Kuna watu kupendwa ni kuteswa na kunyanyaswa
Hapo sina shaka kabisa..We unadhani kwa nn nilimpa hilo jina la Heaven Sent..Coz nilijua linasadifu yaliyomo
Teh teh..u are welcome broUmetisha sana baba mkwe. Mahari nitatoa mara mbili.
[emoji132] [emoji132] [emoji132] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Umetisha sana baba mkwe. Mahari nitatoa mara mbili.