Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, my wiii umenikumbusha enzi hizo "Mtakuja Secondary school", lol!
hivi haya mambo bado yapo?
Full Name??? do you mean our JF ID's or ??? And what should a nickname be?
Nasikia bwana, kule sijaenda miaka mingi sana sasahahaah brother Bujibuji umenkumbusha vibama....n Mwibomaa..chips ni tamu zile..then si unajua paliungua?
oooh thanks umenistua kitu, hata sikuwa nimewaza basi hapo kwenye full name unaweza kuignore na ukaweka nick name. Otherwise wale wanaotumia real names ndo wanaweza jaza full name na nick name wakipenda.
Pamoja sana.
Mhhhh! Ni aje bana!? lol! tunasubiri kukusoma.
FULL NAME: Mentor s/o @invisible
NICK NAME: Mentor/bebee/mkate/AB
LOVER: @catherine, @vivian, @ladyfurahia, @mrembo by nature, @evelyn salt, @smile et al...
FRIEND/S: wengiiiii...
HOBBIES: reading (all manner of literature), writing, music (singing n playing), swimming (my new hobby)
LIKE: Everything likeable
DISLIKE: refer like above
WISH/ES: If wishes were horses...
BEST FOOD: Sushi or any Italian cuisine..not really..aisee chakula chochote chenye NDIZI
BEST SHOES: really!?? well..any zisizo na kamba! i hate shoe laces
BEST WEAR/OUTFIT: smart casual..but fitting. I love my body...
BEST ACTOR: Ashton Kutcher / Tyler perry / Morgan Freeman / Denzel
BEST ACTRESS: Jessica Alba / Angela Bassett / Viola ?
BEST MOVIE: ngumu kuchagua...OLD (sarafina, not without my daughters, neria, gran torino et al) vs new ( Salt, wedding crashers, The bourne ultimatum, naked weapon et al) INSPIRATIONAL vs ACTION COMEDY vs ANIMATION
BEST COLOR: Blue..even the skies are blue!!!
BEST EMPLOYER: ???
BEST HOTEL: Panari Hotel, Nairobi
BEST DATE: 28 January 198*
Mentor kuja pande hizi naomba unisainie na mm kwani niko jikoni napika bhana
asante, tuma salamu.
FULL NAME: Bujibuji
NICK NAME: Mwigulu Nchemba
LOVER: cacico
FRIEND/S: watu8, Boflo, Zion Daughter, Mamndenyi, Mwita Maranya, mwaJ, Madame B, UKItaka ubaya
HOBBIES: JF
LIKE: Jokes
DISLIKE: Hatred
WISH/ES: To be a Pastor
BEST FOOD: Vibama, mabumunda, bagia za bibi kokoso, numbu, migagi na kabunguja
BEST SHOES: Raba mtoni
BEST WEAR/OUTFIT: Rain coat huwa navaaga hata kipindi cha jua kali
BEST ACTOR: Mtambuzi
BEST ACTRESS: Madame B
BEST MOVIE: Ile sinema aliyotokea jamaa na upanga akamkata mwenzake ,akafa, halafu sinema ikaisha hapohapo
BEST COLOR: Colourless
BEST EMPLOYER: My sugar mummy
BEST HOTEL: Mwiboma
BEST DATE: Kilisimasi na pasaka tule pilau na soda