Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,003
- 3,702
Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta.
Unaelewa nini kuhusu Sigma Male ? ( Are you a sigma?)
Unaelewa nini kuhusu Sigma Male ? ( Are you a sigma?)
Sigma wakoje kiongozi¿¿¿Kama unavyojua kuna haiba kadhaa kwa sisi wanaume. Mfano Alpha na Beta.
Mimi napenda wale ambao ni Sigma wenzangu tujadili hapa.
Sigma ni watu wasiotabirika, wa kimya, wasiri na wasiopenda sifa,Sigma wakoje kiongozi¿¿¿