Sigara ya elekitroniki (e-cigarette)

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Pamoja na upya wa sigara hizi kupunguza kipato kwa watu wanaojihusisha na kilimo cha tumbaku lakini sigara hizi lazima ziwe na madhara ya mionzi au kemikali zitokanazo na mfumo halisi wa utengenezaji wa haina hizi za sigara.Ebu wavutaji kazi kwenu sijui radha yake ni vipi.Tekinolojia bwana!
 
Hz S Gara Si Mpya Sanaaa!!! na Leo Walikua Wanazi Discus Kwenye BBC Swahil!! wamesema Hz Znapunguzwa Kias Cha Sumu So Inasaidia Kupunguza Madhara Ya Sigara Za Kawaida!!! pia Sjajua Ile Kemikali Ya NdaN Inayo Chomwa Na Kuwa Moshi Igredients Zake Ni zp.. may Tumbaku still Inahusika!!!
 
Zinafananaje? Tupia picha hapa
 
Ndiokukua kwa tekinolojia ingawa yawezekana kuna madhara ya ndani-tusubiri tuone
 
Mtu mweupe hajawahi kumpenda mtu mweusi. Mifano miwili itatosha kuelezea mkuu, Mosi laiti kungekuwa na wazungu weusi by nature yaani namaanisha Ulaya kuwa Africa na Africa kuwa Ulaya vingepatikana vipodozi vya kuwa mweusi na pili Laiti kama Eboue angekuwa mzungu by nature hata asingelalamika kwenye vyombo vya habari angesaidiwa mapema kama sio Mahakamani,Michango ya wachezaji wenzake au vyama vya soka nadhani umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…