Wanajifanya inatoa mapato mengi........wanasahau gharama za kuhudumia Afya za watumiaji.......kuna shirika lilikuja na pendekezo sigara ziuzwe kwa box ili kupunguza urahisi wa kununua.......sijui huu mkakati uliishia wapi, bila shaka ulipingwa na wanufaika.Waache kelele zao, sasa kama sigara ni hatari, si watangaze iwe marufuku kama ilivyo kwa bangi na unga?