Samahani kuna habari nilizipata jana kuwa usiku wa kuamkia 30/11/2008 kuwa askari wa mkoa wa ARUSHA walivamia makanisa mawili ya kijiji cha unga LTD likiwemo kanisa la MWIZARUB na kuwapiga sachi waomini waliokuwa mkesha. wakafanikiwa kuwakamata watu wachache wanaomiliki silaha kinyume cha sheria. ila sina uhakika na habari hii. Naomba kama kuna mtu anazifaham vizuri atufafanulie hapa wana jamii tufaham