Ni bora usioe kabisa maana utakuwa mtumwa wa ndoa, utanyanyasika na utakuwa mnyonge siku zote. Sio lazima watu wote waoe. Unaweza kuishi maisha yako ya furaha na amani bila kuoa.
Hapo ndio utakapojua umuhimu wa kuvunja amri ya Mungu kwa kutest mzigo na baadae kwenda kuungama kwenye madhabau matakatifu. Ndoa sio kitu cha mchezo mchezo
Ni bora usioe kabisa maana utakuwa mtumwa wa ndoa, utanyanyasika na utakuwa mnyonge siku zote. Sio lazima watu wote waoe. Unaweza kuishi maisha yako ya furaha na amani bila kuoa.
mkuu hii nimezungumzia juu ya kuvumilia mpaka ndoa big challenge moja wapo ndo ukutane na ivo.
ila kwakuwa ulikuwa na msimamo sijahalalisha ndoa ivunje kikubwa hiyo changamoto kabiriana nayo kwakua umeamua kufuata maadili ya dini.
short and simple solution.
Hapana, dhambi ni pale utakapoacha kuoa lakini unazini. Imagine una hicho kisisimizi, kweli utazini? Itakubidi ukae tu. na ili usijiaibishe na kujidhalilisha, bora ubaki bila kufikiria kuzini.