Wa Iraqw (wambulu)
WANAUME:
1.Wanapenda sana fimbo
2.Wanapenda sana sonyo(tumbaku)
3.Wanapenda sana ngono za vichakani (Hakuna kabila lisilo na bidii kwenye ngono Tz)
4.Wanapenda sana Mangure (pombe ya kienyeji ya mtama)
5.Wanapenda sana kutembea kwa miguu (Mf. Dar - Moro tunaswaga tuu tena kikawaida kabisa)
6.Wanapenda sana kuongea kilugha wakikutana (Hata wakutane Ulaya)
7.Wanapenda sana kujifunika migorori (hata liwake jua la laana )
8.Wanapenda sana kuoga mtoni
9.Wanapenda sana kusifiwa (hata mtoto mdogo akijikwaa akango'a ukucha wa mguuni uliita dume halilii, LINANYAMAZA!)
WANAWAKE:
1.Wanapenda sana ngono!! (Dada zangu hawa jamani!! wamesahau chupii... Karatu)
2.Wanapenda sana umbea
3.Wanaringa yaani wana NYODO SANAA!! (Akiolewa mjini na mwanaume mwenye feza)
4.Wanapenda sana kuhamishia kijiji chake nyumbani kwa mumewe ambae sio kabila lake (siwasumangi, ni ndugu zangu nawapa ukweli)
WANYIRAMBA:
WANAUME/WANAWAKE :
Wanapenda sana kunya nyuma ya nyumba hata kama choo kipo karibu, unaweza kukuta baba, mama na watoto wamepanga mstari nyuma ya nyumba wanakunya na cha kushangaza unaweza kukuta mtu anajisaidia nyuma ya choo! (unaebisha nenda Iramba!!)