Sifa za wanawake/wadada wanene

Size ipi 40, 50? chukulia Mh Dr Rev Rwakatare ni size 30

Duh! hiyo nouma, mi nilichokuwa nakijua ni Rev. basi, hayo mengine, mh! ila hongera yake, 3 in 1))))
Hapo kwenye size sidhani kama wa dizain zaidi ya Rev. ndo tunaowazungumzia hapa!
Samahani kama nimekukwaza!!
 
Kaazii kweli kweli. Usimfanye mdada wa watu akakata tamaa. Wewe mwembamba si unajua tabia zako? unahitaji The Boss au Chrispin akuambie una tabia gani?
Kwa kweli nina kipaji cha kutambua wasifu wa watu.

FP hebu nielekeze wasifu wako nikutwange masifa yako mama.
 
Kweli JF is home of Great Thinkers
 
Kwa kweli nina kipaji cha kutambua wasifu wa watu.

FP hebu nielekeze wasifu wako nikutwange masifa yako mama.

Hahaha haaaaaaaa, mi huwa naogopa masifa Chrispin. maana wakaka nyie huwa mnawapa masifa wadada hata ambayo siyo yao, basi mnawafanya wawe na vichwa vikubwa na kujaa viburi kwa masifa yasiyo yao.
 
Hahaha haaaaaaaa, mi huwa naogopa masifa Chrispin. maana wakaka nyie huwa mnawapa masifa wadada hata ambayo siyo yao, basi mnawafanya wawe na vichwa vikubwa na kujaa viburi kwa masifa yasiyo yao.
Hahaha! Umestukae?

Nilikuwa kimaslahi zaidi!
 
Yaani kushtukia huwa ni jambo la kawaida sana kwangu, inabidi kusoma alama za nyakati sio kwenda kichwa kichwa tu.
Kule jimboni kwetu tunahitaji mbunge makini. Nikuchukulie fomu? Ntakuwa kampeni meneja wako.
 
Kweli JF is home of Great Thinkers

Halohalooooooo...................wa nyuma aende mbele..................na wa mbele arudi nyuma............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wanawake wanene wavivu sana kitandani, mara nyingi hupiga mayowe pasipo kujituma. Hovyo sana!
 
hizo ni nyama wala cyo kigezo cha mapenzi kabsa;;;mwanamke ni yy mwenyewe cyo nyama kama amependa amependa tuu
 
thanks ze bossi kwa kutusifia,hatuzipatagi mara kwa mara hizo sifa.....:glasses-nerdy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…