Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

Kutaka kumuwowa utake wewe zawadi akutolee bayser wapi na wapiii ukwe umekufa utamtesa mwanangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mahali umekula mke unaninyang'anya kisa zawadi kweli wewe mama mkwe mkorofi sana
 
Siungi mkono hoja.kuna mabonge mengine yamepitiliza.shapeless
Baadhi wenye shape zilizogawanyika nawaelewa sana.ila pia vipo vipotabo vina chura wa kishkaj viuno vyembamba ziwa konzi.Hakika wananichanganya zaidi
 
Kwahiyo vipotabo ndio vinakuchanganya
 
Back
Top Bottom