kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Nishamtumia ujumbe whatsap naona yupo online lakina hajibuniitie home boy jamani nimemuhamu
Nishamtumia ujumbe whatsap naona yupo online lakina hajibuniitie home boy jamani nimemuhamu
Sawa mkuuSawa ngoja nifanye hivo.
Yupo busy online na mabebez eenhNishamtumia ujumbe whatsap naona yupo online lakina hajibu
Vibonge oyeeeeProudly being kibonge
Ww kibonge unaenda wapi eti
OyeeeeVibonge oyeeee
Sawa bhana chinenee wangu.nataka nioneeeSawa mkuu
Kwakweli acha tujivunie tu vibonge sieOyeeee
Hamna hayupo hivyo usikute kajisahau tu story zimenoga maana yule mtu wa story sana hasa kuhusu mpiraYupo busy online na mabebez eenh
Usijali utaona papa ushindwe weweSawa bhana chinenee wangu.nataka nioneee
Hahahhah nimecheka unavyomtetea sasa kwahiyo hana wa kuwakulaHamna hayupo hivyo usikute kajisahau tu story zimenoga maana yule mtu wa story sana hasa kuhusu mpira
Duh! Ngoja aje amesema anakuja dakika zeroHahahhah nimecheka unavyomtetea sasa kwahiyo hana wa kuwakula
Siioni lakini chinenee wanguUsijali utaona papa ushindwe wewe
Hahahah acha uwogaDuh! Ngoja aje amesema anakuja dakika zero
Wewe amna unanitegaHahahah acha uwoga
Subili mkuu utaona si unaona mpaka leo tunavumilia kumsubili Yesu kristo bado hajakuja kutuchukua na wewe subili tu huko pm usikate tamaaSiioni lakini chinenee wangu
Hahahahahh nakutegaje sasaWewe amna unanitega
Mwaswali yako yananichimbaHahahahahh nakutegaje sasa