Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Asanteee mkuuBasi wewe utakuwa bomba sana. My wife yupo vizuri sana kasoro tumbo linazingua
Asanteee mkuuBasi wewe utakuwa bomba sana. My wife yupo vizuri sana kasoro tumbo linazingua
Asanteee mkuu
Mazoezi mkuu na dietVp kuna mazoezi huwa unafanya au uko makini kwenye vyakula?
We jaribu vibonge mkuu ujioneeShunie umejuaje hilo? Af yaweza ukawa unajinad we ni kibonge enh
Mazoezi mkuu na diet
Kama we kibonge ntakujaribu ila kuwajaribu wengine stakiWe jaribu vibonge mkuu ujionee
Mwambie ajitahidi mazoezi na apunguze kulaAsante mkuu nitamuhimiza wifi yako maana mvivu wa mazoezi.
Nimeshawahiwa mkuuKama we kibonge ntakujaribu ila kuwajaribu wengine staki

Vibonge mapaja meusi...![]()
![]()




hivi tumekukosea nini jamani kila ukiingia unatupondaHamna mm sijaponda nimewakagua wengi wao ni weusi....hivi tumekukosea nini jamani kila ukiingia unatuponda

AsanteeeeeAwe mnene, msafi halafu anashughulika. Dunia yote utaona yako
Kibonge ndio mimi mzee wa chelseaShunie wew ni chibonge?
Mbona me yangu meupeHamna mm sijaponda nimewakagua wengi wao ni weusi....![]()
Haha hayaKibonge ndio mimi mzee wa chelsea
Ulikuwa unasemaje jamaniHaha haya