Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

Aisee niwe mkweli tuu, wanene? Hapana labda nimfunike na shuka aniachie zigo tuu, ungesema misambwanda hapo sawa
 
nakwambia mke wangu ana vituko balaa... atavaa khanga nyepesi ile ya kulalia halaf mara atafute kitu uvunguni... mara atoe mpira aweke mziki acheze... mara akwambie kiuno kinamuuma em nikande... yaan hapo ujue anataka kunipiga hela ya mwisho wa mwezi...!!!!
Hahahah aisee nakuonea wivu, sio siri mkeo atakuwa ni romantic sana. Mupe kitu yeyote anapenda! Dont hurt her
 
Kweli mwanamke mnene n mtam kwanza ukiwa juu ya kifua chake tu utajisikia raha maana mwili n smooth pia unahasisha kuchezea
 
Habar za humu wanajamvi, miaka ya hiv karibun kumekuwa na ongezeko la wadada wanene wenye matumbo makubwa a.k.a vitambi au kuwa na shepu zisizo za kuvutia ambazo watu hupendelea kuita umbo la simba.

Sifa za wanawake wanene ni
1.Wana Sura nzur sana lakin. wamenyimwa shape.
2.Wanajua kupenda kwa dhati wakiwa ktk
mahusiano.
3.Wanapenda kuvaa nguo za heshima kwa ajili ya kuficha maumbo yao na huwasaidia kuchumbiwa haraka.
4.Wanapenda harusi ili kuwaumiza vipotable /wadada wembamba.
5.Wanapenda kuwa ktk mahusiano na wanaume wembamba na mahandsome.
6.Hawapendi kuvaa nguo za kubana wanaogopa kuonekana shape zabo.
7.Simu zao zimejaa picha za self tu au pasport na ukiona picha za face zao lazma uchanganyikiwe akili

8.Ukiona mdada dp ya whastap avatar ya jf au dp ya IG anapenda kuweka self jua huyo ni Team kibonge.

9.Ukimuomba pic lazma akutumie za self na ukiziona lazma uchanganyikiwe

N. B
Siku ukikutana na mtu wa hivi usiache kunitag
Rais wa Team Vibonge Jf nimuunge kwenye Chama




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom