Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

Au kama hili kuna raha gani hapa
43e3fed3dfe4276608fadd4241f0e0db.jpg
Tooooooooba, WEKA MBALI NA WATOTO.

Ama kweli sinenepi hata niambiwe nini, kama mambo yenyewe ndio hayo ya kuziba pumzi watoto wa watu hahahahaha.
 
hizi sifa za sisi wanaume unaweza ukafa kwa kukosa hewa!
Hapo hata nifungwe pingu hiyo staili hapana
Sasa mwnzio anataka aingie CHUMVI UVINZA...sasa ataingiaje?inabidi apekenyuwe...ndy yamemkuta hayo
 
Watu wa mizigo mhh waliojaariwa na Allah,miss Bantu sio maneno yangu ni sheikh kipozeo
 
Ushawahi kumenya ndizi mbichi sasa staili hio kudadeki
e809bd1db0c0a6f28dba501a3fa816fb.jpg

Sasa embu niambie hapa ivi unaingiaje chumvini
Hilo mkuu kuna watu wake WANALIMENG'ENYUA hilo mkuu...linalia kama PANDA aliyebebeshwa mzigo mzito...kuna jamaa yangu mmoja..tena yumo humu ila naficha ID yake..jamaa anayajulia MADUDE aina hyo ni balaa... Tena kama anasumaku...yakimuona huwa yanajipeleka yenyewe..
 
Dah huyo jamaa ako na wasiwasi naye. Basi hata Viboko watakua wanampenda.
Na yeye nadhani akiona kiboki kinatikisa kunanamna anapata hisia flani

5faea8cda59ccb7b2350d2cc9eb3655f.jpg
 
Tooooooooba, WEKA MBALI NA WATOTO.

Ama kweli sinenepi hata niambiwe nini, kama mambo yenyewe ndio hayo ya kuziba pumzi watoto wa watu hahahahaha.

Usinenepe ukawa tipwax2, kuwa na kamwili sexy-kabonge flan hivi ameizing!!
 
Inategemeana na mtu na mtu....binafsi namuona mwanamke mnene kama zombie tu na wala sina kabisa hisia nao.
 
Hivi hii app ya MStz ni genuine au ni utapeli tu unaokuja kwa sura ya mficho. Kuingia tu unaombwa kulipa 45,000 elfu. Wanadai eti ina uwezo wa kuhack sms za mtu bila kujua. Nisadieni hapo..
5a2fce90bc02fab9d428aeea02f568fa.jpg

Ukipata taarifa Naomba unisaidie kunijuza
 
Kuna wenye mwili tu. Unakuta ana mwili mkubwa sexy body yani. Kila kitu kiko sawa mahala pake sema portion kubwa. Ila kuna wale wanene yani extra part mzee. Akinyoosha mkono kuna nyama flani ivi kama kilo tatu inaninginia kwanzia usawa wa kwapa mpaka kwenye kiwiko cha mkono.
Kwenye mbavu ana kama 4 pack ivi sema ni manyama .
Akivaa suruali anachomekea tumbo kama shati

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom